
Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia farajimfinanga.com ni kwamba basi la abiria la WIBONELA EXPRESS lililokuwa linatoka jijini Dar es salaam kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyanga limepinduka jioni hii huko Mkoani Singida.
Taarifa zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.
Endelea kufatilia farajimfinanga.com na muda si mrefu tutakupa taarifa zaidi juu ya ajli hiyo.
PICHA NA MODESTER SEMBE
No comments:
Post a Comment