14 May 2014

DIAMOND ACHAGULIWA KUWANIA TUZO NCHINI MAREKANI NI TUZO ZA BET..HII NI HESHIMA KUBWA KWA TANZANIA

NEEMA ZAZIDI KUMWANGUKIA ZAIDI MSANII DIAMOND MALA BAADA WATOAJI NA WAANDAAJI WA TUZO ZA BET NCHINI MAREKANI KUMJUMUISHA DIAMOND KATIKA KINYANG'ANYIRO KWA UPANDE WA AFRIKA.HAKIKA KUFIKA HAPA NI MAENDELEO
MAKUBWA SANA KWA MSANII DIAMOND PIA NI HESHIMA KUBWA KWA NCHI YETU YA TANZANIA.
MTANDAO HUU WA THE CHOICE UNAMPONGEZA DIAMOND NA KUMTAKIA KILA LA KHER KATIKA USHINDANI WA TUZO HIZO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname