03 May 2014

CHEKI PICHA..RED CARPET YA KILI MUSIC AWARDS....MASTAA WAMETISHA NI SHIDAAA....!

4

Tukio linakaribia kuanza kwenye ukumbi wa Mlimani city hall ambapo wasanii mbalimbali wanategemea kushinda tuzo usiku wa leo. Hizi ni picha 10  za kwanza kutoka kwenye red carpet ya Kili music awards 2014.
Endelea kufuatilia hapa na kwenye page yetu ya facebook, na twitter kwa updates za tukio hili. 10 9

8 7 6 5 4 3 2 1 
CREDIT mirald ayo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname