07 May 2014

BREAKING NEWS:.... AJALI.......AJALI...... MBAYA YA BUS LA PRINCESS MURO ENEO LA MIKUMI MOROGORO...!

Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jini hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi, Mkoani Morogoro.

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname