MARA nyingi manesi wamekuwa wakishiriki katika matukio mbalimbali ya kuua watoto wachanga na kutegemea kulipwa ujira kutokana na kazi hiyo.
Matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa hayaripotiwi kutokana na usiri wa wahusika kutaka mambo yao yasiwekwe hadharani lakini Oparesheni Fichua Maovu (OFM), inaendelea kufichua unyama huo na kuumwaga hadharani.
Mara kadhaa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, chini ya Waziri Sophia Simba imekuwa ikikemea tabia mbaya ya baadhi ya manesi kutumia vibaya taaluma yao na kuendeleza mauaji hayo.
SAFARI HII NI MBAGALA
Baadhi ya wazazi wanaoishi Mbagala Kizuiani jijini Dar waliochoshwa na tabia ya manesi kuua vichanga, walipiga simu OFM na kulalamikia vitendo vilivyokithiri vya utoaji mimba katika dispensari iliyopo maeneo yao.INAENDELEA
No comments:
Post a Comment