MWIGIZAJI chipukizi wa filamu Swahiliwood Zaina Ramadhan ‘Nandi’ yupo katika wakati mgumu na anahitaji msaada wa kupata matibabu nje ya nchi baada ya kupata matatizo ya mgongo ambapo inasemekana kuwa kuna pingiri za mgongo zimetengana, awali alianza matibabu yake katika Hosipitali ya Mwananyamala.Baadae alipata rufaa kwenda katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kujaribu kupatiwa matibabu lakini imeshindikana na anahitaji msaada wa kwenda kutibiwa nje ya nje na inahitajika gharama kubwa akiongea na FC mama mzazi wa Nandi amedai kuwa gharama za matibabu hapa ni 13,000,000
.BOFYA HAPA INAENDELEA
No comments:
Post a Comment