08 March 2014

Makinda apinga shati la kitenge bungeni.


VAZI la kitenge kwa wanaume jana liliamsha mabishano kwenye semina ya wabunge ambapo baadhi ya wajumbe
wametaka wanaume waruhusiwe kuvaa mashati ya kitenge na batiki. Miongoni mwa waliotaka kuvaliwe kwa shati la kitenge na batiki ni John Mnyika, Maria Sarungi na Ezekiah Wenje huku Anne Makinda, Hawa Ghasia, Joshua Nassari na George Simbachawene wakipinga vazi hilo kuvaliwa kwenye vikao vya bunge hilo la katiba

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname