15 March 2014

BREAKING NEWS: YULE MTOTO ALIYEZALIWA GESTI MAMA YAKE MUME MWINGINE AFARIKI DUNIA.

 Mtoto huyo wa kiumeakiwa amefunikwa shuka la gesti
Taarifa zilizotufikia punde zinadai kwamba yule mtoto wa kiume aliyezaliwa gesti huku mama yake  Bi.Mwanaidi Athumani akiwa na mume mwingine amefariki dunia jana.
Baada ya kupokea taarifa hizo Mwandishi wa habari hizi alifika hospital  ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na kuzungumza na daktari mmoja ambaye alithibitisha mtoto huyo aliyekaa tumboni kwa mama yake kwa miezi 7 amefariki dunia.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname