19 March 2014

ANGALIA PICHA MSANII MWNGINE YUPO TAABANI..WENZAKE WAMTELEKEZA

Ismail Issa Makombe 'Mapembe' alivyo sasa.

MASKINI! Hali ya kiafya ya msanii wa Komedi Bongo, Ismail Issa Makombe ‘Mapembe’ inazidi kuwa mbaya kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa muda mrefu huku ikidaiwa kuwa wasanii wenzake wamemtelekeza. 

Mapembe ambaye anapiga mzigo katika Kampuni ya Al-Riyam inayozalisha kipindi cha vichekesho cha Vituko Show kinachorushwa kwenye Runinga ya Channel Ten, amelia  kuwa anateseka na ugonjwa huo tangu mwaka jana.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname