15 February 2014

MZEE WA MIAKA 68 AFARIKI BAADA YA KUBANWA KICHWA NA RECYCLING BIN


MTU mmoja mwenye umri wa miaka -68 alisadikiwa kudondosha kitu chake wakati akitupa taka katika Dubwana la magazeti yaliyopitwa na wakati (Kilalo) na kifo chake kutokea pale alipojaribu kufanya harakati za kutafuta kitu alichodondosha ambacho hakikuweza kutambulika maramoja. 

 Askari polisi waliokuwa kwenye patroo katika mji wa Genova Malloca, Walikatisha mzunguko wao na kufanya jitihada za kuuondoa mwili wa mzee huyo aliyepoteza maisha.
Kicha na mikono vilikuwa ndani ya Contena hilo la taka huku kiwiliwili kikiwa kimebaki nje, Alionekana kuwa alikufa kifo cha tabu sana alitapatapa sana kama takribani lisaa kabla ya kifo chake.

Polisi waliamini kuwa kuna baadhi ya watu wa OAP walitaka kutupa magazeti yaliyopitwa na wakati (Ndaza) kwenye Contena hilo mda mchache kabla ya tukio lakini kwa ghafla kikadondoka kitu kwenye Recycling Bin. 


Wakati alipofanya jaribio la kudumbukiza mkono ukiambatana na kichwa ili atafute alichokidondosha ndipo balaa lilipomkuta, Kwakuwa Recycling Bin hilo muda wake wa kukaa wazi ulipoisha likajifunga na kukuta limefungia kichwa cha mzee huyo ndani. Akapoteza maisha papohapo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname