06 February 2014
JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KITANZANIA NCHINI KENYA CHUONI USIU
Umoja wa wanafunzi wa kitanzania chuoni United States International University (USIU) nchini kenya wachagua viongozi wapya wa mwaka huu. Majina ya viongozi wapya ni kama ya fuatavyo, Mwenyekiti ni Erick Ochaka, Katibu mkuu ni Robin Mwanga, Mratibu ni Muungano Mapunda , Mweka Hazina ni Theresa Serge , watoa habari ni Francis Dedede na Anna Randa. Zoezi zima
lisingeweza kimamilika bila the Electoral Committee Ambayo mwenyekiti wa Kamati hiyo alikua mwenyekiti aliemaliza muda wake miaka miwili iliyopita, Ms Esther Lugoe mwanamke wa kwanza na mwanamke pekee aliyewahi kishika nafasi ya wenyekiti wa jumuiya (ambaye kwa sasa anafanya kazi za kujitolea (Volunteer) na United Nations Development Programme (UNDP) Somalia), Katibu Mkuu Curtbert Fidel na Mshauri mkuu ndugu Glen Kapya ( Director of Marketing and Corporate Affairs at DARLET COMPANY LIMITED, ambaye pia alikua mwenyekiti wa jumiiya hii mika mitatu iliyopita.) na wengine. Mwenyekiti wa jumuiya 2014 (Erick Ochaka) ameahidi kudumisha umoja wa watanzania nchini kenya na pia kujenga mahusiano mazuri baina ya wanajumuiya. zoezi hilo lilifanyika jana jumatano saa tatu usiku, United States International University, Nairobi, Kenya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment