06 February 2014

Hii ndio Tshirt ya Gharama Juu Kuliko zote Duniani

Basi kama ushawahi kuiona au kuhisikia basi hii ndio Tshirt ya gharama ya Juu kuliko zote duniani , Ni French Brand ya  Hermes, ambayo imetengenezwa kwa ngozi ya mamba! Tshirt hii ina thamani ya dola
$90,000.  Inayoonekana tu hapo juu inathamani ya dola $91,500 kwenye Hermes Boutique Duniani kote.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname