08 February 2014

HATIMAYE ROSE NDAUKA AMUWEKA HADHARANI MTOTO WAKE.

Rose Ndauka

Neveen

Star wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amemuweka hadharani mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni na kumpa jina la Naveen yeye na baba mtoto wake Malick Bandawe(Chiwaman). Kupitia
mtandao mmoja wa kijamii Rose aliweka picha ta mwanae jioni hii na kuandika "nachukua nafasi hii kuwashukuru wote mlioweza kuwa na mimi na mpaka sasa tumepata mtoto wetu anayeitwa naveen na leo ikiwa tunasogelea arubaini yake tarehe 9/02/2014 basi nawaomba dua zenu na hii ndio zawadi niliopata kwa mungu nashkuru sana kwa zawadi hii shukran mama yangu mzazi na malick kwa zawadi hii... nawapenda sana"


                                                            

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname