02 February 2014

HATARIII...HUU NDO UJUMBE UKIWACHANA MBAYA JB,UWOYA,BANANA ZORO, BAADA YA KUJIUNGA NA CCM LEO..


1 comment:

  1. Ni Ujinga wa Hali ya Juu na Ubinafsi eti kudhani Watu wote watapenda Unachopenda wewe ni Wasanii ndio lakini Wana Haki ya Kupenda Wanachoamini,Kuacha kununua au Kuchoma Kazi zao hakutawapunguzia Kitu wametumia Haki yao Je wa CCM WACHOME ZA AKINA SUGU,PROF JAY,AFANDE SELE nk ,Hayo ni Mawazo ya Karne ya Mawe,Mwishoni Utanunua za watu wa DINI,KABILA YAKO ,UBAGUZI MKUBWA HOVYOOOO,we Mungu Kulazimisha watu Wapende Upendacho wewe

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname