15 February 2014

FIFA HAIJA MRUHUSU OKWI KUCHEZEA YANGA SC, NAKALA HALISI YA BARUA KUTOKA ZURICH


Okwi akiichezea Etoile msimu huu
BARUA ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwenda Shiriksiho la Soka Tanzania (TFF) haijamruhusu moja kwa moja mshambuliaji Mganda Emmanuel Anord Okwi kuchezea Yanga SC, bali imetoa maelekezo ya kufuata.
BIN ZUBEIRY imefanikiwa kupata nakala ya barua hiyo iliyotumwa nchini Februari 12, mwaka huu kutoka makao makuu ya shirikisho hilo, Zurich kwenda kwa Katibu Mkuu wa TFF, Celestine Mwesigwa Dar es Salaam na FIFA imesema yenyewe haihusiki na usajili wa mchezaji, bali ni shirikisho la nchi husika.



Okwi akiichezea SC Villa Oktoba 22 mwaka jana katika ligi ya Uganda na akafunga bao katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bright Stars
SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname