16 January 2014

TAARIFA YA KUSIKITISHA INAYOMUHUSU RICH MAVOKO

mavoko
Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko na taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa kupitia millardayo.com
bb

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname