30 January 2014

SINTAH AMPONDA YULE DEMU WA KIARABU NAIMA NI YULE ALIYECHUKUA NAFASI YA WEMA KWA KIGOGO WA SERIKALINI:

Naima aliechukua nafasi ya madam
yaani ndipo nina amini wanawake
mwalimu wetu ni kipofu
upo na mwanaume less than 2 months
 unajichora hivi

Naima aliechukua nafasi ya madam

Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha

Ladies, usione mwanamme alikuwa ana muhonga msichana mwenzio ukajua na wewe itakuwa hivyo, kumbuka kila mtu na bahati yake yeye ameitwa Wema na wewe unaitwa Naima

I do the seeking n you do the judging...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname