PONGEZI: Charles Boniface Mkwasa na Betty Mkwasa kwa kutimiza miaka 25 ya ndoa yenu
napenda kuchukua fursa
hii kuwatakia kila lakheri Bw. Charles Boniface Mkwasa, ambaye ni kocha
maarufu nchini, pamoja na bi. Betty Mkwasa, mwanahabari mkongwe na hivi
sasa mheshimiwa Mkuu wa wilaya, kwa wawili hao kuadhimisha miaka 25 ya
ndoa yao.
No comments:
Post a Comment