Binti mdogo wa rais Barack Obama, Sasha, alikua jijini New York hivi
karibuni akifanya shopping huku amevaa kikaptura kifupi
(short shorts,
al maarufu kama daisy dukes.) Mapaparazzi walimpiga picha binti huyo
akiwa mitaani na raha zake na kuuliza mitandaoni kama ni sahihi kwa
binti wa miaka 12, kuvaa kaptura fupi hivyo. Kama kawaida za mitandaoni,
kilichozuka ni ubishi mkali kati ya wanaoona si sahihi, hasa kwa binti
ya rais, na wale wanaoona ni poa tu. Wewe upo kwenye camp ipi? Unaweza
ruhusu binti yako avae kaptura kama hii?
No comments:
Post a Comment