10 January 2014

NILIKOSA MUME KWASABABU YA KUFUATA MKUMBO.!!

https://www.facebook.com/theclicktz
Nilikuwa na mchumba wangu aliyetarajia kunioa soon , ila kutokana na marafiki nilio nao hawakupenda mi niolewe walinishawishi kwenda out na kotoka na wanaume wangine, pia kuwa mlevi sana. mchuma angu alisafiri ki kazi kama muda wa miezi sita aliporudi alikuta nimebadilika sana na mwishowe nilisikia tu anataka kuoa msichana mwingine, roho iliniuma sana.
Sasa hivi natafuta mchumba atakae ni nioa, kwani nimetulia..!!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname