09 January 2014

Martin Kadinda awashukia anonymous haters wa instagram

Manager wa beautiful Onyinye Wema Sepetu na fashion designer (single buttonist) Martin Kadinda ameamua kuwatolea uvivu wale maanonymous na wanaotumia fake accounts katika
mtandao wa Instagram ili kutukana watu. Martin ameandika haya mara baada ya anonymous hater mmoja kupost picha yake na Wema na kuanza kumtukana bila
sababu. Soma alicho kiandika

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname