13 January 2014

KAMA ULIKUWA HUJUI NDIO NDIO KAZI MBADALA YA UIGIZAJI ANAYOFANYA DR CHENI


 Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi sana za kumhitaji kufanya sherehe kama MC na yuko tayari wakati wowote anapohitajika maana yeye yupo kwa ajili ya jamii

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname