20 January 2014

HUYU NDO SISTER ALIYEJIFUNGUA MTOTO WA KIUME...NA KUWASHANGAZA WAUMINI KIBAO

Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la  Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito. Dah bora tu waruhusiwe kuolewa.
Credit jestina

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname