Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...Silaha
pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume
anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza
Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa
nini,Jibu ndio hilo Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al
Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza
muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee'
wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi..
Hayo
Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito
usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda
kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.
Only
Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia
kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na
Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina
ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.
A
Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an
asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti
Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for
CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident
No comments:
Post a Comment