HIVI NDIVYO JENGO LA JMC LILIVYONUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO
Jengo la JMC likiwaka moto.
Wananchi wakishuhudia moto huo.
Magari ya zimamoto yakiwasili eneo la tukio kutoa msaada.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
JENGO la JMC linalomilikiwa na Zhihir Shivji lililopo eneo la Kamata
mtaa wa Kasanga, Kiriakoo jijini Dar es Salaam leo majira ya saa nane
mchana lilinusurika kuteketea kwa moto ulioanzia ghorofa ya saba. Chanzo
cha moto huo na mali zilizoteketea mpaka sasa bado havijafahamika
No comments:
Post a Comment