25 January 2014

HAKIKA HUYU NI MMOJA KATI YA WATANGAZAJI BORA KWA SASA TANZANIA...ANAIMUDU NA KUIWEZA KAZI YAKE HASWAA

ABDALLAH AMBUA
HUYU NI MTANGAZAJI WA EA RADIO PAMOJA NA EATV,ANAENDESHA KIPINDI CHA PLANET BONGO .SIFA KUBWA ALIYO NAYO NI
UBUNIFU AMBACHO NDO KITU MUHIMU KATIKA TASNIA YA UTANGAZAJI.MFANO WA UBUNIFU WA MSEMO USEMAO SIELEWII AMBAO UMEKUBALIKA SANA MJINI KWA SASA.TIMU NZIMA YA THE CHOICE INA MTAKIA KILA LA KHERI KATIKA KAZI YAKE..BIG UP SANA MJUKUU WA AMBUA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname