26 January 2014

DIAMOND AFUNIKA ILE MBAYA KENYA...DIAMOND IMEKUWA DIAMOND KWELI TAZAMA YALIYOJIRI KWENYE SHOW YAKE:

 Hatuna Jinsi lazima tumuandika coz ndio msanii pekee mwenye headlines nyingi kutokana na mafanikio yake..hapa alikuwa Kenya jana ..cheki picha alivyopagawisha kwenye show iliyoandaliwa na kampuni ya safaricom ya Kenya.....Mwacheni Diamond aitwe Diamond..Aka Domo






No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname