26 January 2014

BREAKIN NEWS; PRODUCER DUPY WA UPRISE MUSIC APATA AJALI BAADA YA GARI KUINGIA NDANI KWAKE NA KUMGONGA


Producer Dupy
Producer wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname