21 January 2014

ANGALIA PICHA ..ZAIDI YA 10..DIAMONDI ALIVYO WAPELEKA WASHINDI WA NGOLOLO SHULE YA KIMATAIFA YA E.A internation school

 Napenda sana kuwa karibu na watoto na,vijana wadogo
hivyo siku ya leo nikiwa kwenye shule ya E.A internation

 school,nilipata fursa ya kuwa karibu na watoto 
na vijana ambao ni wanafunzi ..kama 
nilivyowahi sema,watoto na wanafunzi  hawapati
 nafasi ya kuhudhuria maonyesho yetu ama kuonana na sisi hivyo leo
tulifurahi,tulizungumza na kupiga picha za pamoja....



















No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname