01 December 2013

TANZIA: MWIGIZAJI MAARUFU "PAUL WALKER" AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI.....NI STAR ALIYEIGIZA "FAST AND FURIOUS"..


Tragic: Paul Walker
Muigizaji Paul Walker , anayejulikana  sana duniani Aliyeigiza  filamu za Fast and Furious , amefariki katika ajali ya gari.

Ajali hiyo imetokea katika eneo la Santa Clarita, kaskazini mwa Los Angeles wakati alipokuwa katika tukio la kijamii.
Walker alikuwa ni abiria katika gari aina ya  Porsche Inasemekana Gari lilipoteza mwelekeo na kugonga Miti...
Huu ndio uthibitisho wa kifo chake  kwenye ukurasa wake wa Facebook  .
   

RIP Paul Walker
Habari kamili ipo hapa---->MIRROR

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname