20 December 2013

Sipati Hamu Japo Napenda Ngono, NIFANYEJE ?


Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono,

lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi.

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname