Amesema mengi kupitia nyimbo zake na
amewahi kukanusha kujiunga na siasa lakini sasa baada ya kuona ujumbe
ambao amekuwa akiutuma kupitia muziki umepuuzwa sasa ame..
ROMA MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko
Tanga amesema ana mpango Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate
nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Muziki wake Kupuuzwa na
Viongozi wa Taifa hili. "Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi
sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi"...
Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop
akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM
Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale
Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema.
Mpaka sasa baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva waliojiunga na ambao wanampango wa kujiunga na Chama Cha kuwakomboa wanyonge CHADEMA ni Afande Sele wa Morogoro, Joseph Haule ambaye anajulikana kama Prof J, Soggy Doggy na Wengineo wengi.

No comments:
Post a Comment