24 December 2013

Muimbaji Nigeria, May7ven alala mtaani kuchangisha fedha kusaidia watu wasio na makazi

Muimbaji wa Nigeria, May7ven anataka watu wasio na makazi wapate mahala pa kulala kwenye msimu huu wa sikukuu. Msanii huyo mwenye makazi yake nchini Uingereza, ameungana na Wanaijeria wengine kwenye mitaa ya London nchini Uingereza wakiwa na lengo la kusanya £100,000 na kukuza uelewa kuhusu watu wanaoishi mtaani.

Mtoto huyo wa mcheza soka wa zamani Segun Odegbami, alikuwa na furaha kuhusika kwenye mradi huo wa kulala nje kufanikisha kuchangisha fedha hizo.
Msanii huyo ambaye jina lake halisi ni Yemisi May Odegbami pia ni mwandishi wa nyimbo, dance, producer, muigizaji, mwanamitindo na mjasiriamali.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname