AISEEE! Yameshuhudiwa matukio mengi ya kamatakamata ya dadapoa kwa mwaka 2013 lakini hili ni funga mwaka. Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kwa kolabo na polisi, safari hii imefumua madanguro mengi yaliyojificha vichochoroni na kwenye nyumba za kulala wageni na kuibuka na mambo mengi ya kushangaza.
Katika oparesheni hiyo maalum iliyofanywa na OFM na polisi wa Kituo cha Buguruni, Dar, usiku mnene, mwanzoni mwa wiki hii, ilifanikiwa kuwanasa akina dada wanaouza miili katika maeneo mbalimbali wakiwa na wateja wao ambapo baadhi yao walitiwa mbaroni.SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment