26 December 2013

KWA HILI TUKIO LA JANA LA WEMA NA DIAMOND ..HAKIKA UHUSIANO WARUDI KWA KASI YA JUU..ANGALIA PICHA


sdd
Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?
Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.


379719_654725334570888_100223854_n 1499625_654740321236056_1133727884_n

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname