Justin Bieber amewapa mashabiki wake (Beliebers) zawadi mbaya kabisa ya Christmas mwaka huu: anastaafu muziki.
Staa huyo wa Canada ameangusha bombshell hiyo kwenye Twitter na
kuvilaumu vyombo vya habari kwa kuandika uongo kuhusu maisha yake.
Ni ngumu kujua kama kweli amemaanisha lakini kutangaza kwake leo ambapo
filamu yake ya Believe imetoka, kutampa publicity ya nguvu.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI
No comments:
Post a Comment