"Nilitengeneza
Silaha Hii Kwa Ajili Ya Kulinda Mipaka Ya Nchi. Sio Kosa Langu Kuona
Silaha Hii Ikitumika Hata Mahali Isipofaa Kutumika. Hili Ni Kosa La
Wanasiasa". Hayo Ni Maneno Ya
Kutafakari Kutoka Kwa Mikhail Kalashnikov,
Mgunduzi Wa Bunduki Inayotumika Kwa Wingi Sana Duniani, AK-47 (
Kalashnikov's
Automatic, 1947). Veterani Huyu Wa WW II, Amefariki Jana Akiwa Na Umri Wa Miaka 94.
Picha: Mikhail Akipozi Na AK-47
No comments:
Post a Comment