17 December 2013

HIVI NDIVYO VANESA MDEE ALIVYOFANYA MAAJABU HUKO NIGERIA KATIKA SHOW YA RHYTHM UNPLUGGED

jukwaa
Weekend iliyopita msanii wa Tanzania Vanessa Mdee a.k.a Vee Money alikuwa nchini Nigeria kwa ajili ya kuhudhuria na kutumbuiza katika show kubwa ya mara moja kwa mwaka, ambayo huwakutanisha wasanii wa A-list wa nchi hiyo katika jukwaa moja.Jukwaa la ‘Rhythm Unplugged’
Baada ya show hiyo Vanessa alipost picha Instagram akiwa na dancers wa Naija waliopanda naye jukwaani kumpa support na kuandika;
Vee Money naija
“These ladies gave me LIFE tonight S/O to Nigeria’s CLIMAX dancers! What a stage, what an audience, what a show, what a slayin!ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname