17 December 2013

ANGALIA PICHA KILICHOMO KWENYE NYUMBA YA MAKUMBUSHO YA CRISTIANO RONALDO.

Hivi karibuni mshambuliaji Cristiano Ronaldo aliizindua tovuti yake mpya lakini pia Ronaldo amefungua nyumba ya makumbusho inayoonshe matukio mbali mbali 
Jumba hilo la makumbusho limepewa jina la ‘CR7 Museum’ na lipo kwao kwenye kisiwa cha Madeira

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname