Huu ni mji wa Monaco ukitaka kununua luxury property gharama yake ni $ 1 million kwa 16
square meters Monaco hiyo. Yani ukubwa wa uwanja wa tennis kwa $ 1 million, Mji huu unashika number moja dunia kwa gharama hizo.
square meters Monaco hiyo. Yani ukubwa wa uwanja wa tennis kwa $ 1 million, Mji huu unashika number moja dunia kwa gharama hizo.
Hong
kong nako kunakaribia na ya Monaco na huko ni $ 1 million unapata
square meters 19 tu kwa bei hiyo inashika number 2 kidunia.
London nako wamo usingizi kwa $ 41, 900 mpaka $ 46,300 kwa square meters 23 unaweza kujidai na kukoloma juu kiroho safi. |
mambo
haya hapo Geneva kunakoaminika kuwa wanene wengi wameufukia umate mate
wao jiji hapa, unaweza kujipatia usingizi wako kabambe kabisa kwa $
29, 300 mpaka $ 32,400 kwa square meters. kwaiyo mwendo wa #3 kwa ghali.
Hapa ni jiji la Paris nisawa na London bei zake zina pigani vishoka tu kwa usawa gharama zake.
Singapore nako wamo gharama za maisha kwa usingizi wako mwenyewe zinaendana na zile za Ulaya...
Hili
ndiyo jiji la wasiolala duniani New York City gharama yausingizi ndani
ya jiji hili ni kuanzia $ 21,800 mpaka $24,100 kwa square meters 44. Kwa
bei hii unaweza kupata usingizi wenye ukubwa huu na ukajinafasi
kibarazani kwako ukiwa umekunja goti.
Hii
ni Sydney mjii ni sawa na New York City bei zake ni chavu moja huku
unakunja goti huku unakunyua gharama hazipishani saana, Opera House huko
ndiyo habari yenyewe.
Huu
Haaa za kichina hizo gharama za usingizi Shanghai ni za kichina vile
vile maana .....mh...ni $19,000 mwendo wakichina china unagota kwa
$21,700 na change unarudishwa kaz hiyo.
No comments:
Post a Comment