01 December 2013

HAWA NDIYO WASANII WA NJE YA NCHI AMBAO NEY WA MITEGO ANATAMANI KUPIGA NAO KAZI...!!

379faee459a711e39ae812f4c87253a8_7
Nay wa Mitego amewataja wasanii wa Kenya anaopenda kufanya nao ngoma wakati akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen na mtangazaji Willy M Tuva.
Akiwataja wasanii hao, Nay alisema anatamani kufanya kazi na
Sanaipei na Avril na kuongeza kuwa msanii anayempenda zaidi nchini Kenya ni Mejja. Kwa upande wa Hip Hop alisema angependa kumshirikisha Octopizzo na Rabbit. “Hawa watu tukikaa hapa tukipata na mtoto wa kike katikati akatufanyia kitu chake itakuwa ni collabo ya Afrika Mashariki,” alisema. 
Source: Bongo5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname