Fikiria Mazingira yafuatayo:
Umekuwa kwenye uchumba na mdada kwa muda
wa miaka mitatu. Katika muda wote huo wa uchumba wenu, mpenzi wako
amekuwa akikuambia kwamba yeye ni bikira na hayupo tayari kufanya
mapenzi hata siku moja hadi pale mtakapofunga ndoa.
Ulikubaliana na sharti hilo kwa shingo upande na maisha yakaendelea japo kwa shida hadi pale siku mlipokuja kufunga ndoa.
Baada ya harusi yenu kilichofuata ni
fungate kwenye hoteli maarufu. Unaingia chumbani ukiwa na furaha zote na
hamu ya kukipata kile ulichokivumilia kwa muda wote.
Unaanza kufanya tu mapenzi, unahisi
kwamba mwanamke huyo siyo bikra ila ni mzoefu tu kutokana na kulegea kwa
papuchi na mbwembwe nyingine za kitandani.
Unaamua kubaki kimya kwa sababu unahisi
sio muda muafaka wa kuongelea hilo. Katika kumwangalia vizuri sehemu za
siri, unagundua kwamba ana tattoo ya uume kwenye uke wake ukiwa
umechorwa kuelekea kwenye "that particular part"
- Je, utamfikiriaje mkeo kuhusu historia yake ya maisha yaliyopita.
- Je utaendelea kuishi naye kama mkeo au siku ya pili utambeba na kumrudisha kwa wazazi wake.
Karibuni kwa majadiliano.
Haaa haaaaaa hapo no discussion ni arudi home tu' moja kavunja uaminifu pili ni muongo haiwezekan in three yrs umekuwa muongo hivyo hunifai ktk maisha yangu jus pack ur xngs go
ReplyDelete