BreakingNews AJALI YAUWA WATU 6 NA WENGINE 12 WAMEJERUHIWA VIBAYA TANGA
Watu 6 wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 12
wamejeruhiwa baada ya gari dogo la abiria Toyota Hiace kuligonga kwa
nyuma lori la mizigo
lililokuwa limeegeshwa barabarani bila tahadhari
eneo la Kange nje kidogo ya Tanga.
No comments:
Post a Comment