25 December 2013

BREAKING NEWZZZZ...ALIYEWAHI KUWA KOCHA WA SIMBA AFARIKI DUNIA

James Kisaka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu
hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname