02 December 2013

BREAKING NEWS !!! BARABARA YAZIBWA ENEO LA MTO WAMI BAADA YA MALORI, ANGALIA PICHA HAPA



Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami.  Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro.

Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la mto Wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo.
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hay o yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname