13 December 2013

BOMULAOKOTWA KAMBI YA WAPIGANIA UHURU WA WA AFRIKA KUSINI

  Bomu ambalo liliokotwa na mwanafuzni wa kidato cha tatu shule ya sekondari Mji Mpya Emmanuel Stanley jirani na kambi hiyo ya zamni ya wakimbi wa Afrika kusini..     

Mwanafunzi  wa kidato cha tatu shule ya Sekondari ya Kata ya Mji Mpya Emmanuel Stanley[17] ameokota bomu  viwanja vya kanisa  maombi na maombezi lililopo eneo la Barakuda Kata ya Mazimbu manispaa ya Morogoro jirani na iliyokuwa kambi ya wakimbizi wa Afrika Kusini.
Bila kujua kama hilo ni bomu mwanafunzi  huyo alianza kulicheza kabla ya mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Evon kumshtua kwamba hilo ni bomu ambapo kwa pamoja wanafunzi hao walitoa taarifa kwa wazazi wao ambao nao walitoa taaria kwa serikali ya mtaa huo 


 Geti kuu la kuingia campus ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine[SUA] ambayo zamani ilikuwa kambi ya Wapigania uhuru  wa Afrika Kusini

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname