17 December 2013

BOMU ARUSHA: LEMA AISHUKIA KAMATI YA BUNGE.

lemapix_dfe29.jpg
Picha na Emmanuel Herman
Dodoma. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ameeleza kushangazwa na hatua ya kamati ya Bunge kukwepa kuzungumzia suala la kurushwa bomu kwenye mkutano wa chama chake huko Arusha, Julai 15, mwaka huu.

Akichangia mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Ulinzi na ya Mambo ya Nje, bungeni jana, Lema alisema kamati hizo ziligusia suala la bomu lililorushwa kwenye Kanisa Katoliki Olasiti, Arusha na kuachana kuzungumzia lile la mkutano wa Chadema uliofanyika kwenye Viwanja vya Soweto.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname