Kwenye pitapita yangu facebook nikakutana na hii picha ya dala za application ya Whatsapp, kwenye mitaa ya Karikoo na kwingine kwenye masoko ya nguo utakutana na nguo za wakina dada zenye logo ya Facebook ,iPhone au Apple na pia zinafanya vizuri kwenye mauzo. Hii fursa iliyoonwa kwenye dala na kutumia jina la Whatsapp ni mpya na imetulia.
No comments:
Post a Comment