04 November 2013

UKATILI WA KUTISHA WATOKEA MANZESE DAR


KWELI huu ni unyama wa wanaume hata kama si wote! Wanawake wawili wakazi wa maeneo tofauti jijini Dar es Salaam, wamepoteza maisha kufuatia madai ya kuuawa na waume zao. Inauma sana na Uwazi ndilo lenye mkasa mzima!

Matukio yote mawili yametokea jijini Dar es Salaam na kuacha vilio kwa ndugu na jamaa wakiwa hawaamini kilichowakumba wapendwa wao.

WALIOTENDWAWanawake waliojulikana kwa majina ya Mwanahamisi na mwenzake Waisiko Robert Mtundi ndiyo waliodaiwa kuuawa na waume zao, kisa kikubwa kikidaiwa ni hofu ya wanaume hao kusalitiwa katika mapenzi.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname