Batoto ya Kichaga Everyday is a Holiday.......
Baada ya Kazi mingi ni time ya kula kitu roho inapenda
Hapana
chezea bidada mimi unataka leage karibu ulingoni
mwangu..............stress free lady hapo chacha kama unamamizigo
kichwani hapana letea mimi go solve it on ur own time bidada!!!!!!! Hapa
nlikuwa nshahesabu midollar niliyoingiza kwa my business siku ya leo









No comments:
Post a Comment